
“Happiness embu nambie huyo mpuuzi yupo wapi mamaa, au unataka kuniona nakufa kwa pressure, embu nambie uliekuwa unamfanyia hivi ni nani, najua una mtu wako ulikuwa umempanga, huyo mwanaume nambie anaitwa nani na anakaa wapi, niambie akasema kwa ukali..… Sio siri nilijisikia vibaya sana, kwa sababu sikuwa nategemea hata mara moja kama mwanaume ambae nampenda sana na kumuamin sana anaweza kupoteza uaminifu na mimi kwa kiasi hicho, nikamgeukia kisha nikamuangalia na kusema “Naomba nikuambie tu, nataman tuishi maisha mazuri mimi na wewe, mimi nahisi kama nakupenda labda kama wewe hunipendi unambie leo mapema tu nijue nitafanya nini… “Unataka kufanya nini
0 Comments