
Mwandishi;lissa mwalla Nilihuzunika sana sikuamini kama anaweza nifanyia hivi kwa yote niliomsaidia, kumbe nilikua nachunwa? Jmn wanaume wanaume hawa, hivi kwa nini najisahau mm? Niliumia nikampigia simu Joel mana bdo nilikua nawasiliana nae.akasema nambie best mambo, afu nilikua nakuwaza hapa huwezi amini. Nikasema kweli akasema ndio kweli nambie uko powa? Nikasema sipo powa Joel, akasema nini shida nambie best yangu, nikasema Joel hiv mm ni mbaya sana kiasi kwamba hakuna mwanaume wa kunipenda nilivo? Joel akasema kwa nini umeuliza hivo? Nikasema basi tu najua ww unaweza niambia ukweli Joel. Akasema neria ww sio mbaya bwana na hakuna binadam mbaya ila
0 Comments