
Mwandishi;lissa mwalla Mmh huyu anataka aanze mambo gani tena?shida gani hio?sikumjibu.akatuma tena akasema mbona hunijibu neria naomba unijibu ninashida na ww sana.niakasema kila siku unakuja hapa kwa nini usiniambie shida yako nini ukuja hapa hadi unitumie kwenye msg?kama unataka kuonana na mm uje hata tuonane uniambie nitakuskiliza.akasema daaa,neria mbona ww mkali sana?nikasema sina ukali wowote ni kawaida tu umeuliza nimekujibu jamani.akasema sawa nitakuja tutaongea hapo.niaksema sawa.zilipita siku mbili akaja,sasa dukani huwa tunauza na vitu kama kula kula,akaja akaagiza soda baridi na keki ambazo wifi anatengeneza anakata vipande analeta tunauza sh mia tano kila kipande.nikampa akasimama akaanza kunywa.akasema neria nimekuja sababu
0 Comments