
Mwandishi;lissa mwalla Nilikohoa Preston akanipa maji, na leso yake nikanywa nikatulia, akasema neria hunipendi kiasi hiko hadi umestuka na kupaliwa hivo? Nikasema noo sio hivo bana, akacheka akasema haya kula basi ushibe. Nikacheka nikasema sawa. Preston akawa anatoa nyama kwenye kuku wake zile stek ananiwekea mimi, akachukua na yangu kuku nilipewa robo kuku upande wa kipaja akawa ananitokea nyama anaweka kwenye sahani yangu ,mmh huyu kaka mbona anajali hivi? Anataka nimpende na alivo hatuendani kabisaaaa, hapana neria usidanganyike huyu akutaja kukuchamba atakuchamba ukome. Preston akasema ww neria unawaza nini mbona huli? Nikasema ww mbona huli pia jmn? Akasema mm nakula
0 Comments