
Mwandishi;lissa mwalla Nilisubiri jumamosi kama mwaka mpya vile,nilipita madukani kutafuta suruali za jeans na top nzur nzuri angalau nipendeze,mana nilikua nikivaa suruali naambiwa sana napendeza japo shepu yangu sio ilee tutako tunakaa vizuri kwa suruali.hatimae ijuma ailifika nikaomba sana asipate shida akagaili safari bby wangu,lkn usiku wa ijumaa akasema bby najiandaa na safari kesho mapema nitakua hapo.nikasema unapanda bus bby?akasema noo bby nita drive gari yangu nitaondoka mapema sana huku hivo mida ya saa saba Mungu akijaalia nitakua dar tyr mpenzi.nikasema sawa nakusubir.akasema powa bby nakupenda sana neria nakuja.nikasema sawa.sikumuuliza anafikia wapi nilitaka nimchore katika hilo pia je atasema afikie
0 Comments