NERIA Sehemu ya 17

NERIA Sehemu ya 17

Mwandishi;lissa mwalla Mama yangu nimepatikana,mimba hii na mwenyewe hanitaki,machozi hayakuacha kushuka kabisa nililia mno mpka dokta akasema dada hupendi kuwa na mtoto?nikasema hapana akasema mbona sasa unalia sana baada ya kukupa habari ya mimba dada.mtoto ni Baraka dada mtoto ni zawadi toka kwa Mungu huyu ndie atakae kuja kukusaidia hata dunia ikikuacha dada.nikasema shida yangu sio mtoto ila mchumba wangu alienivesha hii pete na kunipa hio mimba jamani ameniacha wakati kashatoa mahari kwetu tena mm nampenda bdo ameniacha bila sababu hanitaki kabisa hanitaki mimi.nililia sana.dokta akasema dada una kazi?nikasema ndio,akasema huyo kaka umezaliwa nae?nikasema hapana akasema basi sababu una kazi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments