
Mwandishi;lissa mwalla Nikasema mama sa ndo nini mme wangu anaondoka namna hio hata hamniamshi mama jamani?akasema sasa yeye mwenyewe ulie lala nae hajakuamsha ndo nije nikuamshe mimi?ndo adabu uliokua unafundishwa na huyo mamako mama james hio?nikasema hapana mama nilipaswa kujua kuliko sa ameondoka na neema mimi naondokaje akati tulikuja na gari yake?mama akasema utajua wewe sasa kwani kabla ya kuja na hizo gari zenu ulikua unatumia nini ukija huku?usijitie utajiri kudeka hapa huyo bwana kaona nini sijui kaamua kukutelekeza huku.niliachana na mama mana maneno yake yalikua kero tu nikachukua simu nimpigie bby lkn simu yangu ilikua imezima chaji na kwa
0 Comments