
Mwandishi;lissa mwalla Tumbo liliniuma sana nilitetemeka nikakata simu.niliwaza kweli ananifanyia hivi mimi huyu mwanaume?na mdogo wangu kweli?preston nilimuamini sana lkn kumbe ni mchafu hivi?na hii mimba je?kweli na mdogo wangu?kweli amejua kunikomesha jamani amenikomesha mimi,nililia sana.nikaona nimpigie mama simu ikaita hakupokea kabisa,nilipiga tena simu akapokea akasema ehee nini sasa unapiga pig asana simu kwani unanidai bwana?haya nimepokea sema shida yako.nikasema mama hivi unajua kinachoendelea kati ya preston na nora?mama akasema heeeee kumbe hio ndo sababu ya kunipigia simu mpaka simu inataka kuisha chaji?bibi weee bwana Yule si alishakuacha Yule?unamfatilia wa nini?na kwani akiwa na mdogo ako shida nini mbona una
0 Comments