
🌦️🌦️🌦️🌦️🌦️ Mwandishi;lissa mwalla .Alitia huruma sana baba milka,alionekana kabisa haelewi nini kimemtokea na mm nilikua namshangaa mana namjua ikija ishu ya kitandani ni simba kabisa yani anaunguruma haswaaaa mbuga nzima inatetema lkn leo hivi jamni nini tenda hii?akakaa akashika kichwa anaskitika kainama tu.nikasema baba milka kuna nini kwanini ivo?nini kimekupata? akasema sijui kwa nini hivi,haijawahi nitokea hivi nashangaa.nikasema skia haina haja ya kujiskia vibaya sababu hii inaonesha ni tatizo inatakiwa tulijadili tujue nini tufanye kulitatua.akasema neria sijui nn kimenikuta maisha yangu yamekua kama ya kuigiza siku hizi.nikasema kwa nini?akasema naona hata aibu kukusimulia yani.nikasema usinionee aibu mm ni mzazi mwenzio
0 Comments