NILIOLEWA ILI KUUKIMBIA UMASKINI… LAKINI USIKU WA HARUSI NILIJIFICHA CHINI YA KITANDA, GHAFLA MWANAMKE AKAINGIA CHUMBANI! 😱💔 part 1

NILIOLEWA ILI KUUKIMBIA UMASKINI… LAKINI USIKU WA HARUSI NILIJIFICHA CHINI YA KITANDA, GHAFLA MWANAMKE AKAINGIA CHUMBANI! 😱💔 part 1

Jina langu ni **Zuhura**... Nina miaka 25 pekee. Ule usiku niofikiri ndio ungekuwa mwanzo wa maisha yangu ya kifalme, kumbe ndio ulikuwa mwanzo wa jinamizi ambalo sijui kama nitaamka. --- Wacha nikupe ukweli, sikumuoa huyu mwanaume kwa sababu ya kumpenda sana. --- Nilimkubali kwa sababu nilikuwa nimechoka. --- Nilichoka kupambana, nilichoka kudaiwa, na nilichoka kuigiza tabasamu wakati ndani nimevunjika moyo. --- Familia yangu ilikuwa inazama kwenye umaskini wa kutisha. --- Kodi ya nyumba hatujalipa miezi sita, wadogo zangu wamefukuzwa shule... Kila siku kwangu ilikuwa ni kama vita ya kutafuta hata mia tano ya kununua chakula. --- Ndipo akatokea yeye. ---

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments