
Ukielewa vizuri misingi ya lugha kama Python, JavaScript, au Java, hautapata shida hata lugha mpya zikija.
Kuelewa 'Data Structures', 'APIs', na 'Databases' ndio kunakutofautisha wewe na mtu anayecopy-paste kodi kutoka kwenye mtandao.
Usiwe na haraka ya kusema 'Nimeshajua kodi.' Chukua muda wako, elewa kwanini kodi inafanya kazi inavyofanya.
Tumia rasilimali za bure kama YouTube na freeCodeCamp kujijengea msingi wa zege kabla ya kuanza kujenga ghorofa la ujuzi wako.
Soma zaidi
0 Comments