
Mwandishi;lissa mwalla Sasa itakuaje wataenda wapi watu wenyewe wagonjwa hawa?yani wote wagonjwa sisi Mungu wangu mm pia siwezi poana kabisa mana nimefanya mapenzi na p bila kinga kabisa nafanya nini mimi?wanangu watakaua wamepona kweli?nilikua kikaoni lkn kufukuzwa kwao kijijini haikunistua sana kma hali za afya zao haswa nora abae ameishi kinyumba na mme wangu kwa muda tu mrefu naponea wapi mimi?machozi yalinitoka,,mama james akanikumbatia akidhani nalia ya mkutanoni kumbe mwenzao nalia na yangu,nilikua najikagua mikono miguu kigua tumbo yn ninao?hili swala sikulichukulia powa hata kidogo niliogopa nikatihsika sana.tulikubaliana na kwnye kikao hatimae kikaisha yn sijui hata waliendelea kuongea nini mm
0 Comments