NERIA Sehemu ya 33

NERIA Sehemu ya 33

Mwandishi;lissa mwalla Baba alistuka sana akanyanyua kichwa kama mtun asiejua kitu chochote,mwenyekiti wa kijiji akasema ndugu zangu tunaomba muwaangalie hawa tunaowafahamu mbona mambo mengine hayana uhusiano na sasa?wanakijiji wakasema tunatataka waje kama mwenyekiti hutaki basi hakuna kikao hapa.mmh wanakijiji walichachamaa,mzee mwingine akasimama akasema tunaumia rohoo kumuona mwenda anapaa tabu,nani asiemjua mwenda na wema wake?mwenda kila tukio yupo na anajitoa hajali kama anawatoto wasomi wanajeshi na wengine hawa kina neria wanakuja na magari,anachimba kabuli anatoa michango kukiwa na misaada anatoa leo anahangaika bado na watu hospitalini anapiga magoti wakati baba za wale mabinti wapi?mwenda simama na wasimamishe wanao nyie ni wetu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments