
Mwandishi;lissa mwalla Walinishambulia wote nitoke walinifukuza nikazoa nguo zangu nikafunga furushi na kitenge nikatoka zangu.nikiwa naalia,sijui kwa nn mama yangu mzazi hanipendi mimi.nikiwa nje kabisa ya nyumba nikaskia wote wakicheka nilishangaa mana walicheka kicheko kikubwa kama sio wale walikua wanabembelezana mama analia,nikaona mmh ngoja nikaskilize nini kinaendelea.nikanyata nikasogea ukutani niakaskia mama anasema heee tutapumua humu ndani mana baba yenu nilimchoka sana anakelele mno,sasa sa ivi nitamuonesha kuwa mm ni nani,acha akaishi na lile toto lake na tukunyema lake.neema akasema Yule mzee anajiweza khaa anahama nyumba kirahisi tu.mama akasema na namkomoa natoka leo alfajiri nitakuaja na vijana tutachukua kahawa yote kule
0 Comments