
🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦 Sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Kwa majina naitwa Neria Justine Mwenda,ni mzaliwa wa njombe.nilibahatika kuishi na wazazi wangu wote wawili nikiwa mtoto wa pili.kwetu tulikua watatu,wakwanza ni dada yangu neema,wapili mie na watatu ni mdogo wangu nora. Katika familia yetu mie nilikua tofauti kidogo na wenzangu kwani nilikua mweusi sana kuliko wenzangu na pia nilikua naambiwa kuwa mm ni mbaya na wenzangu nyumbn, kitu nilichohisi kilipelekea hadi ndugu zangu wakawa hawana upendo sana na mimi hata mama nae alikua hana upendo sana na mimi zaidi ya baba yangu ambae ndie alinipenda sana.nilikua najiskia vibaya mana tokea nikiwa mdogo nabaguliwa.siku
0 Comments