
Jina langu ni **Zuhura**... nina miaka 25... na nikiwa pale chini ya kitanda, nilijifunza kuwa pesa inaweza kuficha siri za kutisha ambazo hukuwahi hata kuziwaza. Nilikuwa siwezi kupumua vizuri. Vumbi kila mahali, huku lile shela langu la harusi likiwa limenijokota miguuni, siwezi hata kugeuka. Na inchi chache tu juu yangu...usiache kufollow page yangu mr simulizi 👉 Yule mwanamke alikuwa ameshaingia ndani ya chumba chetu. Nilitulia tuli, hata pumzi nilikuwa naivuta kwa kuibia. Maana onyo la mume wangu lilikuwa bado linagonga kichwani: "Chochote utakachosikia usiku wa leo... usithubutu kutoka." Chumba kilikuwa na giza totoro. Lakini nilikuwa nasikia kila kitu. Sauti ya
0 Comments