
MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Wakati huo Ayman alikuwa akichunguza uchochoro na kusikia kila kitu . " Sitaruhusu wamguse mwanamke wangu na mtoto wangu. Wakati huo kevo alimsogelea na kumziba Manisha na kitambaa kilichokuwa na dawa za usingizi , Manisha alilegea. Kevo alimshikilia vizuri . " Hahahaha nimepata kirahisi sasa kamuite Sam aje na pikipiki yake haraka anipeleke geto. Yule mwenzie alipoondoka tu. Ayman alifika . " Wewe mwana haramu umemfanya nini? Kevo alishituka akageuka haraka na kutoa kisu. " Oya wa kishujaa ondoka kabla sijakumwaga utumbo nikapata lawama kwa ndugu zako. Ayman alichomoa bastola na kumuonyeshea. " Ondoka haraka
0 Comments