
MTUNZI SMILE SHINE Whatsapp 0688156169 Manisha alitangaza macho na kuuliza . " Kwani hapa nipo wapi? " Hapa ni nyumbani kwangu. " Nimefika je hapa? Manisha aliuliza huku akitaka kunyanyuka. " Tulia ... " Nataka kunyanyuka mwili inaniuma. Ayman alinyanyuka na kupiga magoti kitandani kisha akanyanyuka na kumkalisha. Manisha alitulia kwa muda kisha akauliza. " Nimefikadikaje hapa? " Unakumbuka kilichotokea? Swali la Ayman ni kama lilimkumbusga tukio lililotokea mchana. " Ayman, wamenifanya nini wale wahuni? Inamaana wamenifanyia kitendo kibaya bila kujali kuwa nina ujauzito? Ayman alitulia akawa anamuangalia usoni. " Ayman niambie ukweli nataka kujua . " Hakuna mtu wa
0 Comments