POSSESSIVE BABY DADY 🔥 14

POSSESSIVE BABY DADY 🔥 14

MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Manisha hakuwa na alipinga kwakuwa alikuwa amekosea na amenusurika ilibidi akubali kila atakachosmbiwa na Ayman. Aman alienda bafuni kuoga alipomaliza alivaa nguo zake na kujiweka sawa huku akijiangalia kwenye kioo. Manisha alikuwa akimuangalia jinsi alivyokuwa maridadi. Mpaka kuna muda akajiuliza. " Hivi mimi nakosea nini mbona huyu kaka ni mzuri na moyo wake safi . Hivi nashindwa kweli kuvumilia haya mapungufu yake madogo? Akiwa bado anajiuliza Ayman alipiga hatua kumsogelea pale kitandani. " Manisha mpenzi wangu . Manisha alimuangalia usoni huku tabasamu dogo lilipamba uso wake. " Kabla haijaingia acha nikusifie, umependeza sana. " Asante.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments