POSSESSIVE BABY DADY 🔥 15

POSSESSIVE BABY DADY 🔥 15

MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Ayman alinyanyuka na kuanza kumpiga piga mgongoni huku akimpa pole. " Pole. Manisha alipoacha kukohowa alimgeukia Ayman. " Ayman sijawahi kukutana na wazazi wako zaidi ya kuongea na mama yako pamoja na mdogo wako Leyla sasa nawezaje kwenda kuishi nao? " Utaweza tu kwani hawana shida yoyote. " Kwani huwezi kuongea nao ili niendelee kuishi hapa? " Baba yangu akiamua jambo lake huwa halipingwi. " Oooh kumbe yupo kama wewe tu. " Lakini ni mtu mzuri sana . Utafurahia kwenda kuishi nao. Kesho yake muda ya saa tano asubuhi Manisha akiwa amekaa chumbani karibu na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments