
MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Leyla alishindwa kujizuia kicheko kikamtoka. Ayman akageuka nyuma . " Unacheka nini ikiwa umefanya kosa? " Kaka umezidi .... " Nyamaza. " Acha niongee kidogo , kama humuamini mtu basi mfungie chumbani . " Leyla Ayman alimuita kwa sauti kali kuashiria anyanyue mara moja. Leyla alitulia na kuangalia nje kupitia dirishani. Manisha alishusha pumzi na Ayman akamkuta jicho. Kimnya kilitawala mpaka walipofika nyumbani. Manisha alifungua mlango akashuka wa kwanza na kuelekea ndani. Akutaba na mama mkwe wake akamsalimia. " Shikamoo mama. " Marahaba mbona amewahi kurudi? Manisha hakujibu aliingia ndani huku Ayman akiwa amemfuata nyuma.
0 Comments