
MTUNZ SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Ayman na mama yake walikuwa ndani nao walikuwa na maongezi. " Ayman huwezi kuwa hivi utapoteza huyu mwanamke. " Mama naogopa sana hilo ndio maana namlinda. " Huko sio kumlinda ni kumnyima uhuru wake. " Sasa nifanye nini mimi? " Muamini acha kumfuatilia kama mtoto mdogo. Ayman alitulia kimnya huku akimuangalia mama yake usoni. "Mmmmh.... Sawa Nimekuelewa . " Kumbuka ilikotoka na mahusiano yako yaliyopita na huko tunapoenda zitapoteza huyu binti. " Nimekuelewa mama nitaweka sawa. Ayman na mama yake walimaliza kuongea , Ayman akatoka nje kumtafuta Manisha. Aliposimama mlango wa kutoka ndani aliwaona wamekaa
0 Comments