
MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Wakati huo mama Ayman alikuwa kwa ndani amesimama dirishani aliwaandalia huku tabasamu pana lilipamba uso wake. " Mama inaangalia nini huko? Au moto umewaka huko nje? Aliongea Leyla huku alisogea aliposimama mama yake. Aliangalia nje aliwaona Manisha na Ayman wakiwa bado wamekumbatiana na mikono ya Ayman ikiwa juu ya tumbo la Manisha. " Waooooo wanapendeza kwakweli. " Naomba hilo pepo la ugomvi liwapitie mbali. " Wala sio pepo ila shida ni huyo mwanao wivu umemjaa ila yupo romantic. " Pumbavu wewe hebu nenda kaganye yako haya mambo ya wakubwa haya kuhusu. " Sawa ngoja niwaache
0 Comments