
MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Kuanzia siku hiyo mambo yalianza kuwa mazuri kwa kiasi Ayman alikuwa akijizuia na Manisha alikuwa alijirusha na baadhi ya mambo ambayo alijua yanamkadirisha Ayman. Siku zilisogea Manisha alianza kuchoka na siku zake za kujifungua zilikuwa zinahesabika. Ayman alikuwa makini sana kumuangalia. Aliandaa vifaa vyote kwaajili ya kujifungulia pia alihakikisha anapata hospitali nzuri yenye huduma bora . Siku moja muda ya jioni alikuwa emekaa nje akiwa Bize na simu yake. " Bro mbona upo Bize sana. " Hebu njoo kwanza unisaidie jambo. " Kuna nini kwani. " Angalia hizi hospitali ipi inatoa huduma nzuri? Leyla aliangalia
0 Comments