
MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Siku zilizidi kwenda kuna muda mapenzi yalichukua nafasi mpaka watu wakawa wanamsifia Manisha amepata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na mwenye kujali majukumu yake. Mara nyingi kila ilipofika jioni Ayman alitoka nae na kwenda sehemu tofauti tofauti za burudani na hata kupata chakula cha usiku nje na nyumbani baada ya hapo alimrudisha nyumbani. Amara alikuwa akimwambia . " Manisha unatakiwa kujiuliza na uache utoto usimpe kisukari kaka wa watu . " Wewe unasoma yangu tu kwani huyo mwanaume huoni ubabe wake na mimi kutawaliwa ndio sitaki. " Nyie wote ni vichaa ila kwakuwa maji umeyavulia
0 Comments