
MTUNZI SMILE SHINE WHATSAPP 0688156169 Manisha aliishi vizuri huku akiendelea kupata huduma safi kutoka kwa Ayman. Taratibu mapenzi yakaanza kuzaliwa lakini tatizo kubwa lilikuwa upande wa Ayman alikuwa na wivu kupita kiasi. Alikuwa mkali hata ilipotokea Manisha kacheoewa kupokea simu. " Siku moja Ayman alipiga simu akakuta simu ya Manisha inatumika. Alikaa kama dakika kumi akapiga tena akakuta simu bado inatumika. " Dakika kumi simu inatumika anaongea na nani na anaongea na nani? Ayman alishindwa kuvumilia alitoka ofisini kwake na kwenda kupanda kwenye gari yake kisha akaelekea nyumbani kwa nyumbani kwakina Manisha. Alipofika aligonga mlango Manisha akaenda kufungua mlango huku
0 Comments