RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU SEHEMU 19 na 20 finale

RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU  SEHEMU 19 na 20 finale

19 Endelea........ "Nimeua MUNGU wangu" aliyasema hayo na kushika kichwa chake kwa mikono yake miwili. Alimpima mapigo ya moyo talikuwa yanadunda. Haraka alimpeleka hospitali. Alihonga hela ili Edina apatiwe huduma bila yeye kuwa chini ya mikono ya sheria. Na kama mjuavyo pesa ndo kila kitu. Jioni Edina anazunduka anajikuta Hospitali, pambeni yake yupo mama yake mzazi. Alianza kulia. "Lakini mwanangu nilikwambia hukutaka kunisikia. Haya ni malipo ya mabaya uliyomfanyia rafiki yako. Nyakati zote alikuwa mwema kwako. Nakumbuka kuna kipindi tulikwama sana kimaisha Malaika alitusaidia na hata biashara yangu hii unajua kabisa mtaji alinipa Malaika. Sijui kwanini umemlipa mwenzio mabaya namna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments