RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU SEHEMU 18

RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU  SEHEMU 18

Ilipoishia....... Nilitoka nje nikiwa na nguo ya kulalia ki dress cheupe kifupi kiasi. Baada ya kufungua geti nilimuona kweli Collin amesimama nje ya gari lake. Mimi namsogelea na yeye Collin ananisogelea, tulisogeleana kwa ukaribu huku mie nikiwa na aibu nikifikiria yale maongezi ya kwenye simu na majina ya mahaba niliyokuwa namuita niliishiwa pawa. Baada ya kusogeleana kwa ukaribu pasipo kutarajia Collin alinipiga denda dadeki nyie nyie 😋😋😋.................. Endelea........ Weeee sikuwa na ubavu wa kukataa. Nilitoa ushirikiano wa kutosha. Tulitoka kwenye denda sasa tukakumbatiana kwa furaha. "Siamini kama umekuwa wangu. Nakupenda Sana Malaika" Collin aliongea maneno hayo akiwa mwenye kumbato. "Asante

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments