ROLENZO SEHEMU YA 27

ROLENZO   SEHEMU YA 27

Tulipoishia... Sizani kama kuna uwezekano wa kupata cheti nahisi hata walishavichoma baada ya mimi kuharibikiwa huko shuleni.. Dah itabidi ujaribu kufuatilia tukipata cheti chako cha 4m4 na cheti cha kuzaliwa vitasaidia sana kwenye maswala ya kuapply visa na shule nzuri utakayoweza kusomea huko nje.. Nilimwambia sawa nitajaribu lakini dah sikuwa na matumaini tena,nilihisi kukata tamaa maana uwezekano wa mimi kuvipata hivyo vyeti ni mdogo mnoooooo lakini niliahidi nitajaribu.. Je Rolenzo atafanikiwa?? Tuliongea sana na saji akanipa sana moyo nisikate tamaa bila kujaribu..kwa yale maneno yake ya kutia moyo nilijikuta napata nguvu za kujaribu.. Niliangalia kwenye simu yangu kuna namba ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments