ROLENZO SEHEMU YA 29

ROLENZO   SEHEMU YA 29

Tulipoishia... Tulipiga story kidogo baada ya chakula kisha kila mtu akaenda kulala😽usiku ulikuwa mrefu sana siku hiyo nilikuwa nashtuka shtuka kila muda naangalia saa nilitamani kukuche haraka niambatane na saji kwenda hukoo shuleni.. Yani nilijikuta tu nakuwa na furaha sana nikiwa karibu nae Kulikucha asubuhi akaja kuniamsha yanii sauti yake the way ilikuwa nzito ilinitia hamu kichizi🄲na lile kumbato lake alonikumbatia nikiwa kitandani mashavu yote yalinicheza.. Tulijikuta wote tunavuta pumzi kwa hisia afu kila mmoja akawa anamwangalia mwenzie kwa macho fulani hivii mmmmmmmmmm... Nilipatwa na hisia kali sana .. saji nae ni kama vile alikuwa anajihisi vivyo hivyo.. Tuliangaliana kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments