
Tulipoishia... "najua mimi ndo sababu ya kila kitu" lakini nakuhakikisha machungu yote yatapita na kila kitu kitakwisha.. Mmhh kwanini anasema yeye ndo sababu ya kila kitu?? niliinua macho yangu nikamtizama kisha nikamuita saji....kabla sijaongea chochote nikashangaa anaita kwa sauti Kassy! kassy! kassy mwanangu!!!!! Kassy... Mmmhhh nilishtuka nikageuza macho haraka kwa kassy aiseeee sikuamini😭kassy!!!! Wote tulisogea kwa mshituko hatukuamini Kassy alikuwa amefungua macho anatuangalia sisi😭hakika sikuweza kuificha furaha yangu.. Nililia machozi ya furaha nilimuita mwanangu bila kuchoka hakuweza kuongea aliishia tu kutuangalia badae akafumba macho.. Tulimuita dactari haraka tukamuelezea tukio lile la kupendeza dactari alituomba tuwapishe kidogo ili waweze kuendelea na
0 Comments