Stephen Azizi Ki na Thembinkos Lorch wametoa somo kwa wachezaji kwamba soka ni Karia ya muda mfupi ukipata fulsa itumie mapema.

Stephen Azizi Ki na Thembinkos Lorch wametoa somo kwa wachezaji kwamba soka ni Karia ya muda mfupi ukipata fulsa itumie mapema.

Nyota Hawa wawili wameondoka Wydad Casablanca na kufuata pesa nyingi zaidi kule Al Ittihad ya Libya. Lorch na Azizi Ki walikuwa wachezaji muhimu ndani ya kikosi Cha Wydad Casablanca kwa sababu msimu huu wamechangia mabao 12 tangu msimu uanze kwa ujumla. Al Ittihad waliweka pesa ndefu mezani hakuna mchezaji ambaye angekataa wakiahidi kutoa milion 150+ kwa mwezi kama mshahara kitu ambacho wachezaji Hawa wameona ni bora wachukue pesa . Hata hivyo Wydad Athletic Club - WAC hawana roho mbaya wanajua soka ni Karia ya muda mfupi licha ya kuwa wachezaji muhimu kikosini wamewaacha waondoke. Al Ittihad Tripoli wameonyesha jeuri ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments