THE BOSS 1 MPAKA 5

THE BOSS 1 MPAKA 5

⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️ Sehemu ya 1 na 2 Kwa majina naitwa mariamu hassani mbegu, mimi ni mndengeleko wa pwani ukoo, sehemu moja inaitwa ikwiriri , ila mimi nimekulia na kulelewa dar sehemu moja inaitwa mwananyamara , mimi bwana ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika watoto 5 ,alafu wote tumezaliwa na baba na mama mmoja na wote sie ni watoto wa kike. Yani mama katuzaa wote wanawake tuppu, na mie ndo binti wa mwisho, na wazazi wetu hawakufanikiwa kupata mtoto wa kiume kabisa ,yani sie wala hatuna kaka. Na wala hatuna mdogo wetu wa kiume, tume wemyewe 5 dadas, Mimi nimetokea kwenye familia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments