THE BOSS 16 hadi 18

THE BOSS 16 hadi 18

Sehemu ya 16 na 17 Yule boss aksema mimi huwa siongei mala 2 nimesema.sikuhitaji kwenye kampuni yangu ni basi ipo hivyoo, na unatakiwa kuelewa hilooo, aseeeee nilibaki pale chini nimepiga magoti nikiwa ata sielewi ,uyu boss ni mkavu jamani, daaaah ,basi madame grace akasema ,sikiliza nikwambie, mwanangu Avish, unajua mm ni mkubwa kwako, na najua sana kuwa unaniheshimu mnooo, na nimefanya kazi kwa mda mrefu sanaaa apaaa, naomba umsamehe uyu binti, na mm ndo nachukua dhamani kwake, endapo atafanya kitu chengine kibaya, apooo sitakuwa na msamaha nae , na nitaruhusu umuachishe kazi, ila kwa sasa msamehe, nyieee nilimuona kama malaika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments