THE BOSS Sehemu ya 14 na 15

THE BOSS Sehemu ya 14 na 15

Basi yule mama aksema sasa apo tumekupa huu mshahara mdogo kwa sababu ww ndo unatoka chuo, so hauna experiance yoyote, japo sisi tulitaka mtu mwenye experince ila tumeona ata ww utatufaaa sababu ya kujiamni kwako , na unaonaoneka unajua mambo mengi na ndo mana tumeamua kukuchukua sawa nikasema ndio madame, basi mimi kwangu hii laki 9 niliona kubwaa sanaaa, wala sikuleta maneno nilidondoka na sauni, kisha sasa , uyu mama akanmbia aya nifate nikupeleke kwa boss sasa, nikasema sawa, basi sasa moja kwa moja ,tukaingia kwenye lift kisha tukaelekea gorofa ga nane, yani ya juu yake tu . Basi tulipifika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments