
Basi ile nimeingia mule ndani, nilikatwa jicho kali, kiasi cha kwamba nilishindwa tena kutembea nikasimama, yani nyieeee niliogopa sanaaa, yani uyu baba , ni kakasilika mpaka anakunja ngumi, na macho yake sasa yalivuo makari uwiii, nikatamani ata nikimbie, basi akanmbia hivi we binti unajikuta nani et, ebu nambie kwanza we unajikuta nani ,unahisi unanaiweza sana, nikasema hapana boss, akanambia so unahisi unapewa kazi nyingi zaidi si ndio, so kama nna kazi za kukupa ww, nianze kukuogopa sasa ata kukupa kazi si ndio, hii kampuni ni ya bibi yako,,unanipangia masharti mm ,nikabaki kimyaaaa ata la kuongea sina ,uyu baba akasem nambie
0 Comments