KATRINA 7 na 8

KATRINA 7 na 8

Sehemu ya 7 Mwandishi :lissa mwalla Kaka aliendesha gari mpaka sehemu moja pako kama garden hivi akapak gari kisha akasema dada,usilie utaumwa umelia sana mbona?nini shida au umepatwa na msiba?mm sikujibu niliendelea kulia,alishuka akaens aninunulia maji,kisha akaja akanipa yale maji mm sikunywa nilizidi lia,akasema naomba unywe maji,akafungua maji yale akaanza ninywesha,nikanywa mengi tu nikaona kama kitu kimeshuka hivi,nikabaki nina kwikwi tu.yule kaka akasema pole sana ,nikasema asante,akasema mm naitwa flavio naishi huku huku wewe unaitwa nani?nikasema naitwa Katrina,akasema okay,pole na yote Katrina,nikasema asante sana.akasema unajiskiaje sa ivi?nikasema najiskia nafuu.akasema unaelekea wapi?nikasema hata sijui,akasema kwenu wapi/nikasema arusha,akasema okay,kwani umetoka wapi nikamweleza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments