
Aseeee ni nilishindwa kabisaaa kumuelewa huyu mwanaume, yani yeye ana maisha gani magumu ya kushindwa kukaaa na mimi , alafu mm sinaga shidaaa, mana mimi sio mwanamke wa tamaa kabisaaaa, ni binti ambae sina shida ataaaaa, na kwa kipato chake yeye akisema ananioa mbona tunaishi tu, asa ataendelea kunisubirisha mpaka lini, na mzeee mimi ntamueleza nn, na baba yangu alivyo na sheria sasa, yani apa natakiwa kujipanga kweli kweli kuongea na baba oooh mungu wangu, na baba yangu alivyo na sheria sasa sijuh inakuwaje, basi mie nikajilalia tu chumbani kwangu, mpka mida ya jioni sana ndo nikastuka nashika simu ,
0 Comments