
⭕️⭕️⭕️⭕️⭕️ Sehemu ya 11 na 12 Basi mie harakaaa nikachukua nguo yangu nikaanza kupiga pasi, nilipomaliza nikaenda kuoga harakaaa, nilipotoka nikajiandaa vizuri, kisha nikavaa baibui langu lefu na zuri, na juu nikafunga mtndio wangu mkubwa , yani nilipendeza aswaa na nilijistiri vizuri ,mtoto wa kike, nikachukua pafymu yangu ya elfu 8 ,nikajipulizia ,atlest ninunikie nukie kweny maofisi ya watu, nisiende kunuka kikwapa bulee, basi nilipomaliza kujiandaaa ndo nijtoka chumbani, mama alishaniandalia chai, yani ata sikunyw sana ,sijuh ndo ile presha ya interview ,nilikunywa chai kidogo mnoo, mpaka mama akanmbia mbona kidogo sana ongeza, nikasema hapana mama, ngoja niwahi, basi nikamwambia
0 Comments