🚨 UPDATE: KIMBUNGA KINAENDELEA, ENGLAND WANAPIGA BAO LA 4! FRANCE ICU!

🚨 UPDATE: KIMBUNGA KINAENDELEA, ENGLAND WANAPIGA BAO LA 4! FRANCE ICU!

Mambo yamezidi kuwa magumu kwa Ufaransa kwani England wamerudi kipindi cha pili kwa kasi ile ile na kupachika mabao 4-0!Kazi imekuwa rahisi sana kwa Three Lions leo kule Miami, na sasa wanajihakikishia nafasi ya mshindi wa tatu wa Kombe la Dunia 2026.📊 Mtiririko wa Mabao ya Kichapo:Dakika ya 3 ⚽ (1-0): Nahodha Declan Rice anafungua karamu ya mabao mapema kabisa kwa shuti kali.Dakika ya 18 ⚽ (2-0): Beki Ezri Konsa anapiga doti ya pili kwa kichwa kikali cha kona.Dakika ya 37 ⚽ (3-0): Bukayo Saka anaiwahisha Ufaransa ICU kwa bao la tatu akipokea pasi ya Marcus Rashford.Kipindi cha Pili ⚽

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments