UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07

SONGA NAYO................. Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu. Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize na mambo yangu ,akaniangalia mwisho akasema ""umeona nilichokwambia lakini?"" Bila kumuangalia nikamwambia "unaongea kuhusu nini??" "Acha kujifanya unaweza kupambana na mateso ,we sema neno moja tu nimekubali baasi yote nitayabeba mimi sawa mrembo wangu "" aliongea na kunishika bega jambo ambalo lilinikwaza kupita maelezo. Bila uoga niliinua uso wangu nikamuangalia usoni kwa hasira sana na kushika mkono wake ulio begani kwangu nikautoa kwa nguvu na kusema . "Alvin

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments