AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘

0742133100 Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🤣🤣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yao😄😄Tristan ndo kabisa alilia machozi hawakutaka sisi tuondoke lakini ndo hivyo ilikuwa ni lazima kuondoka nisingekaa nao siku zote walitufanyia kisherehe kidogo pale nyumbani cha kutuaga waliyabariki mahusiano yangu na Hemed ❤‍🔥❤‍🔥 baada ya hapo tuliondoka pale nyumbani kwa kina Tristan tukaenda kulala hotel kwa ajiri ya kuianza safari ya kurudi USA siku iliyokuwa inafuatia, tulirudi USA rasmi nikaanza kuishi na Hemed nyumba moja kama mtu na mtuwe😹😹 paschal si yuko na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments