Wanangu hakuna jambo la muhimu kwenye malezi ya mtoto kama uwepo na sauti ya Baba

Wanangu hakuna jambo la muhimu kwenye malezi ya mtoto kama uwepo na sauti ya Baba

. Tofauti ni kubwa kati ya mtoto anayekuzwa na wazazi wote na yule anayelelewa na Mama pekee. Sauti ya Baba hujenga nidhamu, mwelekeo na mipaka ya maisha. Haimaanishi Mama hana mamlaka lakini kuna nyakati malezi yanahitaji msimamo, ukakamavu na uongozi wa Baba. Maisha ni magumu na watoto lazima waandaliwe mapema kuyakabili. Watoto wengi wanakuwa Mashoga, Wadangaji, Watumia Madawa kwa sababu tu walipokuwa wadogo walikosa sauti ya Baba! Hata kama umegombana na mama lakini hakikisha ugomvi wenu haupelekei kuwatupa au kumsusia mama malezi. Kuza familia yako ukishindwa Dunia itakusaidia ✍🏿 Steve Champion

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments