
Yani nilijikuta nimechukua mnooo, mbona hanisikilizi ata kidogo jamani , kwani angelala apa ni nn angepungukiwa ,basi nikajivuta kitandani, nna hasira kweli kweli ,nikajilaza, nikalla na mahasira yangu, na asubuh nikaamka nayo, nikajiandaaa, nikasepa kazini yani ata chai sikunywaa, na ata kazini nilikuwa na hasira, wafanyakazi walikoma. Na wananijua vizuri, kuwa nikiamka vibaya, namuanza dinaa, mpaka kazini, yani nakuwa nashindwa kukontrol hasira zangu kabisaaa, basi mida ya mchana sasa, cat akanipigia simu ,akanmbia shost ajeee, nikasema powa nambie, nikasema niko powa sijuh ww ,cat akanmbia wewe nani kakuuzi mbona unanongea kihasira hivyo, nikasema ahaa lijitu limoja hivi, cat akacheka akasema
0 Comments