
BALAA LA NYUMBA ZA KUPANGA--->01..3 ???????????????????????????? "kijana wangu yuly najua unakwenda kuanza maisha ya kujitegemea huko mjini tanga na kazin umesha report sasa uwe makin sana mana cfa za mji wa tanga unazickia tangu ukiwa katka makuzi yako ya ujanan kikubwa uwe makin na maisha yako sawa mwanangu ucje leta balaa katka ukoo we2 na kesho gari linakuja kubeba v2 vyako vya ndani cna mengi ila nkutakie maisha mema mwanangu" "sawa baba nmekwelewa nakuahid ntakuwa makin na kujirinda na kurinda heshima yako" yalikuwa maongez ya baba na mwana walipokuwa katk moja ya mgahwa wakipata chakula cha ucku huk wakiagana mana
0 Comments