
Alafu uyu baba alivyoniona wala hakustuka ndo kwanza alikuwa busy na kula, tena.ata haniangaliaa, akavuta na juice akanywaa, apoo mie naogopa sana ,yani apo najiuliza ni kaingiaje ndani kwangu, na baba nje ya geti kaniekea walinzi watatu. Tena waliosomea kabisa na wanalinda na bastora, na nikawa nawaza wakati anaingia hajamzulu mtu uyu, asije kuwa kachinja ndo kaingia, nyoee apo yeye ni yupo busy anakila ndizi na juice ,hana presha ni kama yupo kwake, aseee uyu baba ni mkauzu, nikaona apa narudi chooni nafunga mlango kwa ndani, ile nageuka tu, nikasikia wewe , unaenda wapi, nikasimama nakwambia netetemeka, akanmbia usijalibu kunikimbia
0 Comments