PART 4: MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART 4: MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART 4: MTI UNAOMWAGIKA DAMU "Nini kilitokea?" Aliuliza Mwenyekiti lakini yule bibi kikongwe hakusema lolote. Aliutazama ule mti akiwa mbali na kutikisa kichwa chake. Usiku mambo yakawa ni yaleyale. Mti ule ulizidi kutiririka damu. Upepo mkali ulishamiri kijijini na hata damu ikatengeneza bwawa dogo kuuzunguka mti. Mwandamo hakulala usiku ule, akawa anasikia sauti ya mwanamke ikilia na kuomba msahada. Hakujua sababu. Alifungua dirisha taratibu kutazama nje lakini hakutanikiwa kuona chochote zaidi ya giza la usiku ule pamoja na upepo uvumao. Akarudi kulala kwenye mkeka wake. Ghafla mlango wao ukawa unagongwa kwa nje, mama yake alijibu "Nani?" Aliuliza mara kadhaa lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments