PART TWO: MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART TWO: MTI UNAOMWAGIKA DAMU

PART TWO: MTI UNAOMWAGIKA DAMU Mzee Mware, Mganga mkongwe pale kijijini alifika na mkoba wake wa uganga. Watu wakiwa nyuma yake, aliuzunguka mara kadhaa ule mti unaomwagika damu. Kisha akapiga magoti na kuishika ile damu kwa kidole chake. "Ni damu kweli! Damu ya binadamu" Alisema Mganga. Sasa akauchukua msinga wake na kuurusha mara tatu kuelekeza kwenye ule mti. Akachukua kopo moja lenye dawa na kulifungua. Akachukua kidogo na kuinyunyuzia kwenye ile damu na Kisha akatulia kidogo. "Kuna jambo halipo sawa" alisema Mganga na kuongeza "Kuna ushetani ulifanyika kwenye huu mti" Punde upepo mkali ulianza kuvuma kwenye kile Kijiji. Sauti ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments