Unawezaje Kumiliki Soko Lolote? Kwa mujibu wa Mukesh Ambani, tajiri mkubwa zaidi barani Asia

Unawezaje Kumiliki Soko Lolote?  Kwa mujibu wa Mukesh Ambani, tajiri mkubwa zaidi barani Asia

Unawezaje Kumiliki Soko Lolote? Kwa mujibu wa Mukesh Ambani, tajiri mkubwa zaidi barani Asia, unatoa zawadi yenye thamani ya dola bilioni 25. Washindani wake walimcheka... hadi alipoyafilisi makampuni 11, akaunda kampuni yenye thamani ya dola bilioni 100, na kuyumbisha uchumi wa India. Hii ni moja ya stori za unyakuzi wa kikatili zaidi katika historia ya biashara: Mwaka 2016, sekta ya mawasiliano nchini India ilikuwa inatawaliwa na Airtel, Vodafone, na Idea, kwa kushikilia asilimia 70 ya soko. Bei ya data ilikuwa kati ya dola 3 hadi 5 kwa GB, moja ya gharama za juu zaidi duniani. Mamilioni ya Waasia hawakuweza kumudu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments