
UTAMUU WA MABOSS ??????11 Baada ya chakula cha mchana Linda na Alex waliongozana kwenda chumbani ????????wazazi wa Alex walibaki wanatabasamu???????? Aah wanaendana sana hakika wanapendeza????????waliongea hivyo wazazi huku wakiwasindikiza wawili wale kwa macho mpaka walipoingia chumbani.. Alex alikaa ktndn kwake huku Linda akibadilisha nguo kwenye chumba cha kubadilishia nguo, Linda alitoka akiwa amevalia gauni fupi jekundu ambalo lilimchonga vyema mwili wake na Alex akatabasamu ???????? "Kwanini amevaa gauni jekundu na fupi ? Hajui kuwa nguo nyekundu inatamanisha? , akawaza Alex Kisha akamsogelea Linda ???????? "Oh mpnz wangu, mimi nimekuta man tayari aliwaza Alex kabla ya kumshika Linda ooh No no
0 Comments